Posts
Followers
Followed
"Kukosa nafasi mbili za wazi hakuondoi ubora aliokiwa nao uwanjani siku ya leo,nimechezaji wa kiwango cha juu ambaye kocha yeyote angependa kumtumia kikosini, amekimbia eneo kubwa na kufanya yale yote aliyotakiwa kufanya, amestahili kupata hii tuzo" @patrickten_ mchambuzi wa michezo @dabotenfm
2025-04-07
Mabingwa watetezi wa taji la ligi kuu ya soka Tanzania Bara, @yangasc wameendelea kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kutwaa tena ubingwa huo baada ya kuichapa @coastalunionfc ya Tanga kwenye mchezo uliochezwa KMC Complex. "Umekuwa mchezo mzuri wenye upinzani wa hali ya juu, kipindi cha kwanza kilikuwa cha timu zote lakini kipindi cha pili kimechezwa zaidi kwenye nusu ya @coastalunionfc yote kwa yote @yangasc wamestahili kushinda mchezo, japo wangeweza kushinda magoli mengi zaidi kama wangeongeza umakini kwenye safu ya ushambuliaji,wamepoteza nafasi nyingi. @patrickten_ mchambuzi wa michezo @dabotenfm
2025-04-07
Get precise information on the language and nationality of @daboten audience. Social Auditor report shows top-10 languages, top-10 countries, and top-15 cities. Find out interests, popular tags, and hashtags among your target audience.
Audit @daboten for fake followers, likes and comments. The report will show the percentage of mass and shadow followers, suspicious comments, likes and the number of quality and active followers.
Reach your exact target – check the age and gender among @daboten audience. Social Auditor full report shows the percentage of each age and gender group by total, quality, and active followers.